Monday, August 4, 2014

MY HOBBIES....MAUA

Nilisema ntakuwa nawashirikisha sehemu ya vitu ninavyopenda kufanya.Kila siku kwenye maisha tunashauriwa kuongeza new hobbies kama inawezekana.Kuna kitu nakipenda sana na nikiwa mdogo nilikuwa nakimudu mno,kuchora.Nilikuwa nachora sana nilipoanza maisha ya kazi sijawahi kuchora tena.Nahisi nitarejea tena kwenye kuchora soon nitaanza kama mwanafunzi naona maana sijui tena ila kama ni kipaji ninacho ndani basi kitafufuka tu.
Haya maua niliyapanda mwenyewe kwa mkono wangu na sasa yameshamiri vyema.

22 comments:

  1. Dada tuelekeze mahali pa kupata stand za maua km kile kibaskeli

    ReplyDelete
  2. Hii nadhani nitaiga sio mbaya maana unapenda sana maua nipo ku copy na kupaste

    ReplyDelete
  3. Dina ninashida na were my dia.km hutajali namba yangu ni 0786978398

    ReplyDelete
  4. maua mazuri jaman dada dinah hongera wee nakutamani sana.

    ReplyDelete
  5. bado kidogo utatuonesha unavyo fanya mapenzi.......

    ReplyDelete
  6. Yaan da Dina hata usinge lijibu liho lijinga maua na mtu kafanya mapenzi wapi na wapi muwaza ngono huyo hovyooo

    ReplyDelete
  7. Nakupendaa sana dada Dina...

    ReplyDelete
  8. Nakupendaa sana dada Dina...

    ReplyDelete
  9. We annoy hapo juu peleka umburula wako huko......wivu na roho mbaya zitakuua.....Da Dina nilikuinbox Facebook utusaidie kutangaza mtt amepotea. How much do u charge please.... Dotto

    ReplyDelete
  10. Poleni kwa kupotelewa na mtoto,sijaingia facebook.Hiyo mbona haina charges ni msaada tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ahsante sana Mama Zion....wamenipigia sasa hv mtoto kapatikana. Twamshukuru Mungu kwa Hilo. Ahsante sana kwa ushirikiano wako mpnz. Bless you dear ...... Dotto

      Delete
  11. Napenda an rangi ya ngozi yk.naomba jina la lotion na powder Tafadhali.no yangu ni0714470304

    ReplyDelete
  12. kwema dina naomba namba ya mama eva yule anaepima uvimbe wa wanawake na mirija kiasili0755655036

    ReplyDelete
  13. Dada dina shikamoo na samahani, blog yako yako ile ya dinahicious........inatumiwa na wenye computer tu? Wenye simu hapana?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ile siyo blog ya Dina Marios my dear

      Delete