Wednesday, October 15, 2014

MTOTO AMETOWEKA KWAO,ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE.

 Huyo mtoto pichani amepotea..katoweka tokea jana saa nane mchana.Anaitwa Tulhafa Yasin yupo darasa la 5 shule ya African nursery and primary school..ni shombe wa kisomalia.Kwao ni tabata chan'gombe.Ana umri wa miaka 10.Mtoto alikuwa nyumbani kwao wakati wa tukio badae wanamwita hawamuoni
Kuulizia nje kuna mwanafunzi mwenzie kamuona kabebwa na bodaboda.

Ukimuona toa taarifa kituo cha polisi au kwenye vyombo vya habari.

No comments:

Post a Comment