Tuesday, October 21, 2014

KUNA MISEMO MINGI SANA INAYOMPA SIFA MAMA NA KUELEZEA NAFASI YAKE KATIKA MAISHA YA KILA SIKU.



Nimeupenda msemo huo hapo,hakuna wa kuziba nafasi ya mama kwa kweli.Wewe mdau unaweza kuongezea upi?

1 comment:

  1. Wakati Muhimbili University hawawezi kukufundisha biashara, TIA hawawezi kukufundisha ufundi umeme, VETA hawawezi kukufundisha uhasibu na Chuo cha magogoni hawawezi kukufundisha afya MAMA anaweza kukufundisha vyote, tena kila siku na bila gharama. Mama ni mwalimu wa kila somo unalohitaji. Hapo Dina vipi?

    ReplyDelete