Monday, October 13, 2014

TUSOME VITABU ILI KUONGEZA UFAHAMU

Nakumbuka zamani nulikuwa nikishare vitabu ninavyosoma.Kwa muda sijafanya hivyo nitarejea tena kwenye utaratibu wangu huo.Mie sio msomaji sanaa wa vitabu ila nasoma vitabu kiasi chake ili kuongeza ufahamu wangu wa mambo kadha wa kadha.Hiki ndio kitabu nasoma kwa sasa.Nilikipata mlimani city nakumati ila najua kwenye maduka mengi ya vitabu kitakuwepo na vipo collection nyingi tu za the secret.
Sio lazima kitabu hiki soma kitabu chochote hata kama ni cha kiswahili lakini kuna vitu unaona utajifunza humo na kuongeza ufahamu wako.

No comments:

Post a Comment